Ushahidi wa Kuwa Zari ana Ujauzito wa Diamond Huu Hapa..No Doubt Tena..Ukibisha we Mbishi

Haya Hii Nadhani itakiwa ni Kata Ngebe Baada ya Watu mbali mbali mitandaoni kuwa na wasi wasi kuwa Zari si Mjamzito ..Picha inajieleza yenyewe hapo juu..Ama ni Photoshop Jamani?
Hongera Zari na Dai..

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. KWELI ZAMA ZA MWISHO NDIO HIZI NI WATU KUSIFIANA UZINIFU SASA MWANDISHI KWA KITENDO CHA NJE YA NDOa UNAMPA HONGERA MUNGU ATULINDE NA WALIOFANYA AWASAMEHE WATU WA SASA WANASEMA NI MAENDELEO

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kuoana sio lazima wa2 wajue mmeoana inawezakuwa siri yenu ndo wa2 washtukie kitumbo ndo hichoooo.Ndoa ni hapa duniani mbinguni hamna cha ndoa wala kuoana.2siwacharge sana maana mtoa hukumu ni Munngu.

      Delete
  2. hakuna shida kikubwa azae salama, na waendelee kumlea huyo mtoto, isiwe ya Ney na Siwema.

    ReplyDelete
  3. MSITUSUMBUE NA ZARI BWANA, KWANI YY NDO WAKWANZA KUZAA. HATA PAKA ANA WATOTO. JIMAMA LENYE 41+ NA WATOTO 3 KIPI CHA AJABU HAPO.

    ReplyDelete
    Replies
    1. WIVU WAKO!!!!

      Delete
    2. anonymous 11:06 wewe ndo mwenye wivu
      nan asiyeijua mimba!?nyie ndo mtupishe mxieeeew Zari zari yy Mungu kwan

      Delete
    3. WEWE HUNA LOLOTE WIVU WAKO TU NDO UNAKUSUMBUA HAO 41- NA WASIO NA WATOTO MBONA HAWAJAMZALIA CHIBU SIKU ZOTE HIZO???

      Delete
    4. How sure are you that Mimba niya Chibu?

      Delete
  4. He! tunajua anamimba but hatuna uhakika kama ni ya Domo au xxx. na kashaingia leba X3. so hakuna wa kushangaa.

    ReplyDelete
  5. Hiyo ki2 origininal. Kitanda hakizai haramu hiyo kweli kitu chake.

    ReplyDelete
  6. kenya tuliona manyonyo mbele, bongo tumbo mbele duuuh.
    all the best. ila kama kweli Diamond kasema eti akipima DNA atampa nyumba huyu dada. kweli wanawake hatujui thamani zetu. yaani mpaka upime DNA? NA BADO UNAMPA NYAPU YAKO ANAICHOKORAAAA.

    HUYU KAKA MDALILISHAJI SANA. NA KAMA NI UDAKU TU BASI WAANDISHI MMEZIDI JAMANI LOL.

    ReplyDelete
  7. Mctupigie krr kama ipo atazaa ,.

    ReplyDelete
  8. MTASEMA SANAA!!!

    ReplyDelete
  9. Mimba siku iz zimekua inshu!

    ReplyDelete
  10. Hamja notice hizi picha wanatuma wenyewe? Mpita njia gani alipiga picha moja tuu ya kuonyesha tumbo kubwa wakati last week akiwa anaogelea hakuwa na mimba kubwa hivyo?? Hii yote ni Album tuu wametengeneza...

    ReplyDelete
  11. Hiyo picha imeeditiwa, angalia vizuri, hapo kuna picha tatu sehemu tafauti

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad