Ushauri: Kila Nikikutana naye Nashindwa Kufanya nae Mapenzi

Wadau za usiku huu,
Kuna kitu huwa kinaniumiza sana kichwani mwangu kwani kuna mdada mmoja mzuri ameumbika na ana sifa zote nzuri za kike. Tatizo linakuja kila nikikutana nae jogoo ananywea kabisa mpaka kero.

Hapa naandika haya kalala pembeni baada ya kumforce sana jogoo lakini wapi. Sijui tatizo ni nini kwa sababu kwingine jogoo fresh anapiga kazi kama kawa tatizo nikimuita yeye tu lazima jamaa agome kufanya kazi, hii leo ni mara ya nne.

Naombeni ushauri wadau nifanyeje?

 ~Yaser
Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ndugu yangu hilo ni tatizo la kisaikolojia tu kwa sababu unaingia uwanjani ukiwa umejawa na hofu ya kupoteza tena mchezo. Kwa maana nyingine hujiamini kutokana kutokana na kupoteza mechi zilizotangulia. Usikamie sana game, relax your body and mind na usiwe na pupa wala haraka: Mambo yatakuwa fresh

    ReplyDelete
  2. Acha woga na usikamie xana game. Relaxe your body and Mind na usiwe na papara. Utaona Mambo!!!

    ReplyDelete
  3. Piga whisky half glas bila kupumzika alafu tulia ka fala fulan fully kurelax mtizame kwa hisia kali usiwaze kabiaa hlo tendo utaona mambo jogoo hana taabu

    ReplyDelete
  4. wanamme wenzio wanakunywaga supu ya pweza ndio wanafanikiwa ku do..... hilo pepo la jogoo kutowika linawakabili sana vijana wa mijini. sijui mnamatatizo gani wajameni.

    ReplyDelete
  5. Samaki mkubwa we!! Yaani wewe kazi yako ni kuchezea watoto Wa watu tu au sio.Oa kwanza then ulete hiimada na bado utashindwa sana tu Iblisi wewe

    ReplyDelete
  6. Jitie kidole cha mkundu itasimma

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad