Ushauri Kwa Agness Masogange..Acha Kupost Makalio Insta Nafasi Uliyonayo Haija Mara Mbili na Umri Unazidi Kwenda

Kwa mtu ambaye ametokea kwenye maisha ya kawaida kama Aggy, bila shaka nafasi hiyo adimu aliyoipata angeitendea haki, either kwa kujiendeleza kielimu au kibiashara. Ni mda mrefu umepita toka binti huyo mrembo apate shavu la kuishi kwenye ardhi ya Madiba yenye kila aina ya starehe bila kufanya kitu chochote cha maendeleo.

Ki ukweli Dada yetu huyu kajibweteka mno, hata kama umepata mwanaume mwenye Pesa kama Bakhresa, kujituma muhimu. Umebahatika kupata Uraia uko na watu ambao wanakusaidia kusogeza maisha mbele lakini naona mwenzetu umekazana kupost picha za makalio mpaka tunaona kizunguzungu huko Insta.

Kuna watu wanatamani hizo nafasi usiku na mchana ila hawazipati. Mbaya zaidi ni lugha ambayo unatumia siku hizi huko Insta yani hadi aibu kuongea, mtu unakaa nchi za watu kwa miaka zaidi ya mitatu unashindwa kufanya juhudi za kujua lugha za wenzetu ambao wameendelea? Sio wote wanaoenda nchi za watu wanafanikiwa kimaisha ila pia kuna vitu tunajifunza tunapotembelea nchi za watu either viwe vizur au vibaya.

Kuna watanzania wengi tu ambao wamefanya mabadiliko kwa kuzitumia fursa za kutembelea nchi za watu na kuleta mabadiliko kwenye maisha yao na jamii kwa ujumla, mfano halisi Sporah Njau na Watanzania wengine ambao hawajulikani.

Tunajua wazi kuwa Elimu yako haitoshi na wala hauna kipato kikubwa cha kuweza kusababisha uishi maisha bila kumtegemea mtu. Ila ni vizur ukajikumbusha ulipotoka, umepata bahati jiongeze, maisha yanabadilika ipo siku watu unaowategemea hawatakuwepo tena. Soma hata vi short course vikusaidie kukabiliana na maisha au fungua hata biashara.

Bahati haiji Mara Mbili..

By Warumi

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. HUYO NI MALAYA LAZIMA AJITANGZE HAPO UNAMPIGIA MBUZI GITAA

    ReplyDelete
  2. Bora mmeliambia hilo gumegume jamani. Hakuna mtu asiye na makalio Yani hadi kerooooo. Picha TAKO TAKO tako TAKO heee stupid girl.ptuuuu!!!

    ReplyDelete
  3. Hacheni kumkuza huyu dada hana uraia wowote zaidi ya kuishi na viza za kawaida. ndio kwanzan anautafuta huo uraia kwa kutundika makalio yake kwenye mitandao ili apate wafadhili, isitoshe kama angelikuwa na uraia msinge muona anafanya vitu vya kijinga kama hivi. awadangaye wajinga ambao hawajui South kukovipi.

    ReplyDelete
  4. Acha ufala na wewe mwandishi kujiendleza ni kipaji si kila mtu anaweza kujiendeleza kielimu ama kimaendeleo yoyote yale. Hilo bwege ama box Masogange ni Malaya tuu na hicho ndo kipaji chake na amefanya maendeleo ya kutoka kufanya umalaya DAR hadi Bondeni kwa MADIBA.

    ReplyDelete
  5. ANAUZA !!!!!!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad