Video:Nuhu Mziwanda Afunguka Makubwa Kuhusu Kupigwa na Shilole Pia Kutokujua Lugha ya Kingereza

Shilole na Nuhu Mziwanda
Kwa mara ya Kwanza Udaku TV imemtafuta Nuhu Mziwanda na Kufanikiwa kupata Mahojiano kuhusu Mambo kadhaa ambayo yame andikwa sana na Magazeti na pia Mitandaoni ...

Nuhu Mziwanda Ameongea Makubwa Kuhusu Shilole anavyompiga magumi kila mara , Pia ameongea kuhusu Michapio ya Kingereza anayoandikaga kwenye Page yake ya Instagram

Angalia Video Hapa Chini:


Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. are u crazy or sth?

    ReplyDelete
  2. He is not crazy like u think!!!!,He is a gentle man,anamekubali hajui kingereza na anataka kujifunza,big up Nuhu endelea kujifunza utaweza.

    ReplyDelete
  3. Akili za kitoto

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad