Lowassa |
Mchungaji Benedickto Kamzee kutoka Kanisa la Glory of Christ la Katavi amesema wamefikia uamuzi huo wa kuja Dodoma kuonana na Edward Lowassa bila kushinikizwa wala kushawishiwa na mtu yeyote.
“Hakuna aliyetushawishi, hata siyo maaskofu wetu, hili suala halina msukumo wowote zaidi ya msukumo wa Mungu,” alisema Kamzee.
Kamzee alisema wachungaji hao wanatoka kwenye madhehebu ya EAGT, TAG, PEFA, KLPT kutoka maeneo mbalimbali nchini.
Akizungumza baada ya kuwakaribisha Wachungaji hao, Lowassa amepinga tuhuma zilizotolewa na baadhi ya watu kwamba amekusanya makundi ya kumuunga mkono huku akidai hana sababu ya kufanya hivyo na hana uwezo wa kuwagharamia watu hao wanao muunga mkono.
huyu jamaa anahonga hawa watu au?
ReplyDeleteLOWASA JEMBE
ReplyDeleteUdhaifu wake unashinda uzuri wake. Gharama ya kuwa raisi yeye ni ndogo kuliko umuhimu wake katika nafasi hiyo.
ReplyDeleteHuyu jamaa.msanii kuliko.marehemu Kanumba.Tamthilia ya Lowasa ndo kwanza imeanza.Hii ni movi iliyopangwa na muongozaji ni yy mwenye.Usafir yy.kula.yy.posho yy na hizo za mchango yy mwenywe mtoaji.Hapo bado walemavu.wachukuzi.wamachinga.mama ntilie na wengi tu wanakuja.Ccm kazi kwenu hiyo hela inatakiwa kurudi.
ReplyDeleteKWELI MDAU UMENENA MANA NILITAKA KUSEMA HIVYOHIVYO..........CHEZEA WASANII WEWE WANAWEZA KUWATOA WAGONJWA HOSPITALINI KISHA WAKASEMA NA WAGONJWA PIA WAMEANDAMANA HAHAHAAA ACHA MUVI IENDELEEEEEEE..
ReplyDeleteMWACHENI AMWAGE PESA ZAKE AMBAZO HAZINA KAZI,, SIKU YA UCHAGUZI HAPITI HUYO, HAKUNA ANAEHITAJI RAIS FISADI KAMA HILO
ReplyDelete