Wadada wa Mjini Akiwemo Jack Wolper Wajitosa Kumtafutia Nuhu Mziwanda Mchumba, Wamchoka Shilole

Shilole na Nuhu Mziwanda
Story ya kwenye U Heard ya leo March 10, inahusu tetesi zilizoenea kuwa wa dada wa mjini akiwemo muigizaji, Jacqueline Wolper wamemchoka msanii Shilole kwa madai kuwa amekuwa akimpiga mpenzi wake Nuh Mziwanda mara kwa mara na wanataka kumtafutia  mpenzi mwingine ambae hatampiga, mpango uliopangwa siku ambayo Shilole alimpiga Nuh na wasanii waliokuwepo kuingilia.
Soudy Brown amemtafuta Shilole na kumpa taarifa hizo na kusema sio kweli ila watu wanazusha ili kuwagombanisha jambo ambalo hawatafanikiwa kwa kuwa anajiamini sana, kwa upande wa  Nuh amesema kuwa ndio kwanza anasikia taarifa hizi ila mwanaume huwa hatafutiwi mwanamke na Shilole hampigi kama wanavyodai zaidi ya kuishi kwa raha.

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. WANAFIKI NYIE ACHANI MAISHA YA WATU MBONA WANAWAKE WANAOPIGWA HAMUWATAFUTII WANAUME??? NA WANAWAKE WANAOPIGWA NI WENGI SANA!!! ACHENI UNAFIKI WENU. YENU YANAWASHINDA MNASHUPALIA YA WENZENU TU!!!

    ReplyDelete
  2. Maskini kaka wawatu hana pakwenda afanyeje sasa? Acheni nyie mkundu mtamu me nipige mpk uniue lkn usiku najua napewa tako

    ReplyDelete
  3. HIYO NDIYO BONGO IME CHANGE NA KUWA NCHI YA WANAFIKI DUH!!IT'S A BIG DAMN PITY

    ReplyDelete
  4. anapigwa kila siku tunasoma na anakanusha hapigwi ki hivyo.. ila kwa kuwa alikubali kuwa marioo shauri zake..wacha ateseke mpaka awe mwanaume aanze kujitegemea na aache upumbavu wa kupigwa ovyo na mwanamke

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad