Nikiwa katika miaka ya balehe niliwasikia wazee wakijisifu kuwa katika zama zao walikuwa wanaoa wanawake wabichi kabisa yaani bikra. Waliendelea kusema kuwa siku hizi vijana wetu wanakula makapi. Sikuweza kuchangia hoja kwa sababu sikuwa mmoja wao katika mazungumzo yao ila tu nilisikia kwa kuwa nilikuwa pembeni ya nyumba na wao hawakiniona.
Habari ile nilimuuliza kaka ambaye niliweza kumkabili kutokana na ukaribu wake kwangu licha ya kuwa alikwisha oa. Alinifahamisha nini maana ya bikra baada ya kuniuliza swali kuwa nimeshaanza mapenzi au laa. Alinieleza kwa lugha ya staha ambayo sikupata jibu zuri la moja kwa moja. Nilipata ufafanuzi zaidi kijiweni kwa washikaji.
Nilidhamiria nikikua lazima nioe bint bikra na msomi, sikutaka kula makapi ili nami nijinasibu kama wale wazee siku za usoni. Kwa sasa nimemaliza chuo kikuu nina degree, nimeona kabisa ndoto yangu imepotea. Kwa kuwa kaka bado yupo, niliamua kumkata stimu kwa kumkumbusha lile swali la wakati nikiwa balehe. Kaka alicheka sana kisha akajibu kwa mzaha kuwa kama unataka bikra nenda Zanzibar huko ziko nyingi sana wanazitunza hadi waolewe, akaishia hapo bila shaka alihisi kama sikuwa serious.
Wanajamvi naomba mnijuze, je ni kweli kwa yafuatayo:-
1. Je ni kweli Zanzibar kuna bikra za kumwaga?
2. Je wanatumia njia gani hawa kuzitunza bikra hadi umri mkubwa wakati vishawishi na utandawazi ni mkubwa kwa
sasa?
3. Vijana wa kiume wa Zanzibar wanajipoza wapi au nao wana mbinu mbadala ya kukidhi haja zao za mwili?
Nisaidieni ili kama kuna uwezekano niandae nauli na nianze mchakato wa kupata kitambulisho ili niende Zanziba nikaibue bikra ya kuoa
Wanawake wenye bikra wapo wengi sana zanzibar hata wasomi wa chuo kikuu
12
March 05, 2015
Loo?, Kua na heshima, Hujui una mdhalili lisha mwana mke hapo, hususan wajamii yako. Kwani ukoo wenu, kabila lenu, mkoa wenu, hukuna mwanamke mwenye thamani yake?, Wa ulize kwenu kwanza ndio uje ktk jamii nyingine.
ReplyDeletewacha ujinga we muandishiiii
ReplyDeleteUnamkuta bikra ndio.Lakini nyuma walishamla tigo cku nyingiiiii!!! Ndo mabinti wa kizanzibar walivyo kama unabisha waulize wenyeji.
ReplyDeleteunakuta binti zanzibar mbele hajaingiliwa ila mara nyingi hufanya kinyume na maumbile nilishakutana na binti wa dizain hiyo akanipa mgongo mbele alikataa kabisa
ReplyDeleteWanaume wa Unguja wanapoozea hamu zao kwa7bu kuwa machangu doa wengi wanakuja kutoka TANGA.
ReplyDeletewanawake Zenji wana bikra ya mbele, ila ya nyuma zinaondolewa sana na wazee wao na vijana wa mtaani;
ReplyDeleteWEE UMESEMA !!!!
Deletenakuunga mkono mchangiaji ni kweli wanawake wa Zanzibar wanabikra hii ni kama desturi yao ukiolewa hlf ukawa na bikra ni heshima kubwa sana kwa wazazi, kwa hilo hata mm nawaunga mkono, lkn mabinti wa Zanzibar hawawezi kustahimili mihemko ya mwili badala yake wanafanya mapenzi kinyume na maumbile sana tu na ndio tabia yao kubwa!!!! sasa heshima iko wapi hapi hapo!!
ReplyDeleteWAAMBIE HAO HESHIMA IKO WAPI?
DeleteShikamooni wote walioandika na kutoa comment
ReplyDeleteSi unaona ukiisikiliza mimbo yao ya taarab mafumbo mengi ndani yake na mara nyingi huwa ni kuhusu "TIGO"Duh hicho kisiwa cha Zanzibar balaa kwa ngono za kinyume na maumbile mbele bikra nyuma knocked engine
ReplyDeleteUkweli mbele bikira nyuma kisima
Delete