Watoto 17 Wakutwa Wamefichwa Pasua Moshi Wakipatiwa Mafunzo ya Kiislam Kwa Siri

Watoto wapatao 17 wamepatikana wakiwa wamefichwa huko Kilimanjaro wakiwa wanapatiwa mafunzo ya siri ya maadili ya kiislamu kwa zaidi ya mwaka huko wazazi wao wakiwa hawafahamu wako wapi.

Kwa mujibu wa ITV watoto hao wengine waliletwa na wazazi ambao hawakuwaeleza ukweli wazazi wenza wenzao na wengine walikuwa wametoroshwa bila habari zao kufahamika.

Kisichofahamika mpaka sasa ni kwa nini mafunzo hayo yawe yawe ya siri? Jee hii inatofauti gani na yale ya Nijeria ya kuteka watoto inayofanywa na Boko Haramu?
Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ASANTE MUNGU KWA KUWAOKOA WATOTO HAWA... JINA LAKO LIBARIKIWE AMEN!!

    ReplyDelete
  2. Liangaliwe kiundani maana hakuna shule au dini yasiri tanzania hii

    ReplyDelete
  3. Nyerere katoka kwao butihama kiswahili ajui wazee wa dar es salaam 90% waislam wamempokea mrema katoka moshi waislam wamempokea sheikh mtopea kampiga debentures kapata ubunge hakuna ugomvi Kati ya waislam na wakristo bongo ache ni kufuata ujinga wa wazungu bali fuateni Yale yote mazuri

    ReplyDelete
    Replies
    1. MDAU SIJAKUELEWA HAPA UNA MAANISHA NINI? UJINGA WA WAZUNGU?? MIYE NAONA NI UJINGA WA WAARABU

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad