Wema Aendelea Kuwapa Hamasa Wanawake,Chukua Hii Kutoka Kwake

Wema Sepetu
Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Wema Sepetu  mwenye followers zaidi ya laki nne kwenye mtandao wa Instagram kwa siku za hivi karibuni ameonyesha njia kwa mastaa na watu wengine baada ya kuamua kuanza kuposti  jumbe mabalimbali zenye manufaa kwa jamii na sio majungu ambayo hayana faida yoyote, Wema amekua akiachia jumbe hizo na  huku akitumia tag mbili za BeWemaFanyaWema na 2015WalkToRemember.

Amekuwa akiandika vingi kuhamasisha wanawake kwenye kujitafutia maendeleo huu ni muendelezo tu. Baada ya hivi juzi kuwa balozi na kuzindua gari mpya ya kampuni ya Mitsubishi ASX alibandika hii.

Mwanamke simama imara. Usipojiamini mwenyewe atakuamini nani? Hamna kisichowezekana!

Huu ni mfano mzuri sana Madam tupo nyuma yako.

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Madam,
    Big up, tunaona mwelekeo na mtazamo mpya toka kwako. Kuna maisha Fulani umeyatoka na umeingia katika mtazamo na upeo mpana wa maisha kwa hisia na malengo mapya.
    When you became miss Tanzania, we expected something like this and even more than that. we need to see your influence and impact to different spheres of life and to different people. Uliingia usanii ukajisahau na kuishi kisanii. Nothing bad being msanii, lakini maisha yanapokuwa na vituko na vimbwana, then you are living kisanii.
    Life has stages, steps to make. Life has its own dimension of thoughts and actions, you are the mirrow of our youths, our young ladies who look up to you. Imagine how many get inspired when they see "the New Wema?"
    Madam, dada yangu mpendwa, tusonge mbele. Lets vision the future of our society with determination and focus. We need to see up there, like a star that is shinning to lead the way. We want to see the glittering future from you by what you think, speak and act. Wishing you God's love and blessings...show the way for all women to be proud of. Kila jema dada.

    ReplyDelete
  2. Hongera nyingi Wema. mola azidi kukupa akili, na uvumilivu kwenye maisha yako.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMarch 23, 2015 at 9:31 AM; You have said it all! let's support our own Tanzanian sweetheart sasa. Wema we love you so much. fanya kitu ambacho fans wako tutajivunia kukusupport, like a new movie, clothing line, csmetic line, u name it! ntakopa kununua bidhaa ya Wema wetu.

    ReplyDelete
  4. HA HA HA HA!!!! KAMA UNAJIAMI KIASI HICHO NINI KILIKUFANYA KUZUIA KAJALA KULISHWA KEKI????????? HAPO TU IMEONYESHA HUJIAMINI KABISA!!!!!

    ReplyDelete
  5. INGEKUWA WEWE ULIELIPA 13ML. USIENDE JELA THAN UKAGEUKWA UNGEMLISHE KEKI?? ACHA UNAFIK NA UZANDIKI. BE WEMA FANYA KAMA WEMA. NA BADO.

    ReplyDelete
    Replies
    1. HA HA HA NANI KWAKUAMBIA ALITOA YEYE HELA????????POLE WEWE. HATA KAMA NDO UMFANYIE MWENZIO HIVYO??? ANGEONYESHA UKOMAVU KAMA ALIVYOSEMA HAPO JUU !!

      Delete
  6. NDIO WEMA ANAJIAMIN TENA SAAANA TU, KAMA HUNA HABARI KAWAULIZE WANAOMJUA, AMTAJE KAJALA KWA LIPI? ARUDISHE PESA ZAKE KAMA KWELI ANAJIAMINI KAMA WEMA.

    ReplyDelete
    Replies
    1. NDIO USHAMBA HUO HIVI UKIMPA TU KITU UNAKIDAI?? HEE HII KALI KWANZA HIZO HELA HAJAZITOA YEYE HELA KAZITOA CK TUNAJUA SIO WEMA.

      Delete
  7. We anonymous 1:36 acha usenge mbwa koko wee. Unataka uambiwe mara ngapi kuwa zile milioni 13 ni za CK na sio za huyo malaya mwenzako anaenuka kuma. Kama anajiamini mbona Zari anamkosesha usingizi??Unajua kuwa yy na mama yake wanaloga kila kukicha?? Mara waende singida mara zanzibar.Uchawi tu..Mfyuuu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ulilipia hela ya mganga , epuka kumnyooshea mtu kidole kwani vinne vyote vinatizama upande wako wewe.

      Delete
    2. weee koma tena koma...uchawi ulumpa wewe...basi nawe mchawi kwani mchawi humjua mchawi mwenzie...mxfuuuuu

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad