Wema Sepetu Aukana Wimbo Wa Diamond Platnumz


Wakati hit single ya Diamond Platnumz, Ntampata Wapi inatoka mwaka jana, watu wengi waliamini kuwa wimbo huo amemwandikia ex wake, Wema Sepetu.

Tetesi hizo zilienea baada ya kubainika kuwa wawili hao wameachana tena. Hata hivyo Wema amedai kuwa si kweli.

“Leo nasema rasmi kuwa hii nyimbo hakuniandikia mimi,” Wema aliiambia Radio 5 ya jijini Arusha.

“Because nilikuwa naisikia hii nyimbo hata wakati tulipokuwa kwenye uhusiano alikuwa akiimba, akiind kwahiyo ilikuwa tu ni moja ya nyimbo zake kama anavyoandika nyimbo zote lakini nadhani tu timing ya kutoka ndio kidogo imekuwa na utata because kaitoa timing ambayo watu wote wakadhani kamuimbia Wema but in real sense noo,” aliongeza Wema.

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. I miss Diamond and Wema together ingawa Dia is not gud for Wema Zari ndo pahala pake hamna wa kumuumiza mwenzie.

    ReplyDelete
  2. ZILIPENDWA!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad