|
Wema Sepetu |
Wema Sepetu Amezua Timbwili jipya huko Arusha Tripple A baada ya yeye na Wapambe wake Kutaka kuingia kwenye show aliyokuwa anafanya Ali Kiba katika Ukumbi Huo ...Inasemekana Wema Sepetu na Wapambe wake baaada ya kumaliza Sherehe yao waliamua kwenye Show ya Kiba hapo Tripple A lakini walinzi waliwazuia mlangoni kwa kile wanachoamini kuwa Wema hakuja pale kwa nia njema bali kutafuta Kiki kwa maana anajua Ali Kiba ni Adui wa Diamond hivyo yeye kwenda kwenye Show ya Ali Kiba ni choko choko na Huenda angepiga mapicha na Ali Kiba na kupost Mtandaoni ili kumuumiza Diamond kama alivyofanya kwa Ivan aliyekuwa mume wa Zari huko South Afrika....
Je unaona walinzi wa Ali Kiba walikuwa Sahihi Kumzuia Wema Sepetu Kuingia Kwenye Show ya Kiba?
wataalam wanasema kuna mstari mwembamba sana unaotenganisha kati ya kuchukia na kupenda, kwa hiyo wema bado anampenda dai ila kiba usikubali kutumika na wema kama njia ya kumuiza dai,ingawa dai naona hana taim na wema
ReplyDeleteWEMA ATAHANGAIKA SANA WAKATI YEYE MWENYEWE NDO ALIMTEMA DIAMOND. AU ALIKUWA ANATINGISHA KIBIRTI???????
ReplyDeleteWema nae, haishi vituko. Hapo ni naona anazidi kujiumiza yeye tu. Mwanamke hata siku moja hawezi kushindana na wanaume, ye atulie tu ayaache ya dai yapite
ReplyDeleteKwani haruhusiwi kuingia kwa kibakuli?
ReplyDeleteBiashara yake haikutoka. Akaamua kujaribu bahati Ali Kiba street, Hahaha. Kila mwanaume mwenye nyege na pozeo kakutomba Wemaa. Huna dilii. Pampucha lishanoki.Nenda tena China mamako weee
ReplyDelete