Wimbo Mpya wa Ommy Dimpoz Wapondwa ila Video Yasifiwa

Baada ya Video mpya ya Ommy Dimpoz Kutoka Jana Baadhi ya Watu wakiwemo bloggers Maarufu kama U-turn Wameendeleza kuponda tunzi na melody za nyimbo zinazotolewa hivi sasa hasa kutoka kwa wanamuziki wakubwa ..Tukija kwenye hii nyimbo mpya ya Ommy Dimpoz ya Wanjera Wengi wamesema hakuna jipya kwenye wimbo na mashairi ila Video imetokea bomba hasa ukichukulia na uwepo wa Wema Sepetu ndani yake ... ...Bado msisitizo wa wasanii wakubwa kukubali kutungiwa nyimbo unawekwa ili kupata ladha tofauti ...Je wewe una maoni gani??

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. sijui ni nani alileta huu ujinga wa "nyimbo hii' ..... hivi ndivyo inatakiwa kuwa, nyimbo hizi, wimbo huu.

    ReplyDelete
  2. wimbo uko poa sana nimeupenda bure

    ReplyDelete
  3. VIDEO NZURI WIMBO BOMU

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad