Zitto Noma, Aamua Kujiuzulu Ubunge Kabla Chadema Hawajamfukuza Rasmi Kwa Barua..Aandika Barua Hii Hapa ya Kujiuzulu


Wakati bado Chadema Hawajatoa Barua Rasmi ya Kumfukuza Zitto Chadema , Zitto Ameamua Kujiuzulu yeye mwenyewe na Kuandika Barua hiyo Hapo Juu ....

Je unaonaje Kuhusu Hilo ?

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tundu Lissu hakawii kusema kuwa hiyo barua ya kujiuzulu ina makosa kisheria.

    ReplyDelete
  2. Hakuna cha unoma wowote aliokuwa nao zaidi ya kiherehere chake na kichwa chake kujaa na kutaka misifa isiyokuwa na msingi.
    Hapa anachojaribu kutuonyesha ni kuwa yeye yuko juu ya itikadi za Chama na sio kwamba itikadi na sheria za Chama ziko juu yake.
    Sasa hapa inashangaza kidogo hasa kwa mtu wa aina hii anapojiona wa maana kuliko itikadi za Chama je siku akiupata Urais wa Nchi ndio itakuwaje???????
    Jamani Siasa ni kuvumiliana.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ulishawahi kuona wapi mwizi anatuhumiwa kuiba simu kwenye vyombo vya haabari lkn hawajawahi kum catch na any evidence.
      Chadema wanaongea mno. Na mjejidhihirisha kuwa hamfanyi mambo kisomi. Nyinyi bakieni na chama chenu cha ukabila na sasa ndio wkt muafaka wa kujipima nguvu zenu bila Zitto

      Delete
  3. HUYU NDIE ANEFAA KUWA RAIS WA TANZANIA

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad