Zitto Achukua Maamuzi Magumu..Akutana na Wazee wa Jimbo lake na Kusema Haya


Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mh. Zitto Zubery kabwe Leo Alikutana na Wazee wa Jimbo Lake na Kutoa Maamuzi magumu mbele ya wazee hao kama hatogombea tena Ubunge kwenye jimbo hilo alilolitumikia kwa muongo moja (miaka 10) huku wazee wakimbariki achukue maamuzi  yanayofaa kulingana na hali ya kisiasa inayoendelea hivi sasa.
Katika page yake ya facebook amepost ujumbe huu kama unavyosomeka hapa chini:


Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Pole kaka kwa maamzi mazito

    ReplyDelete
  2. Pole, Mungu akupiganie

    ReplyDelete
  3. Hakuna maamuzi magumu aliyochukua ila amepima hali ya upepo kwenye jimbo lake haumvumii vizuri.

    ReplyDelete
  4. Sasa kama hutagombea Ubunge jimbo hilo unataka sisi tufanye nini??????? Acha unafiki wa kujifanya ka Mungu mtu. Siasa zimekushindwa na sasa unabakia kuhanyahanya.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad