Zitto Kabwe |
Kwahiyo nahisi kuwa hiki kilichonitokea sasa ni sehemu ya mkakati huo maana sakata la escrow limegusa wengi, hadi majaji wamo.”
“Kama Katiba ingebadilishwa kabla ya uchaguzi mkuu 2015 na ikaruhusu mgombea urais mwenye umri chini ya miaka 40, ningegombea urais, nahitaji kuongoza nchi, kwa ubunge imetosha, lakini kwa kuwa haiwezekani, nitagombea ubunge lakini si Kigoma Kaskazini, nitatafuta jimbo linguine la kugombea ili nao nikawatumikie, Kigoma Kaskazini nimeshafanya kila kitu, sitakuwa na jipya”
Hajasema atagombea kupitia chama gani,
Je, wewe ungependa agombee kwa chama gani, jimbo gani na nini maoni yako kuhusu kauli hii?
Mimi ningependa agombee jimbo la Munduli
ReplyDeleteagombee UBUNGO KWA MNYIKA AU KAWE KWA MDEE AKAWATOE MAKAMASI
ReplyDeleteSawa,lakini kwa tiketi ya chama gani?
DeleteAGOMBEE KWA TIKETI YA CCM
ReplyDeletemimi ningeoenda akagombee JIMBO LA NZEGA ILA CHAMA NDO CJUI....PLS ZITTO KUNA MIGODI KULE AMBAYO NI MALI YA WATANZANIA ILA KWA KUWA HAKUJAPATA MBUNGE MAHILI KAMA ZITTO NDIYO MAANA WANANCHI WA KULE BADO WANAISHI MAISHA DUNI YAANI HAWANA UMEME,,,MAJI WALA HOSPITAL NA SHULE BADO HAZINA WAALIMU
ReplyDeletenjoo ugombee makunduchi
ReplyDeleteau agombee kwa Mbowe ili amdhihirishie yeye ni nani!
ReplyDeleteAgombee Kishapu- Shinyanga maana hakueleweki
ReplyDeleteAkagombee mchambawima!
ReplyDeletetanzanians LOVES YOU ZITTO GOMBEA POPOTE TU UTASHINDA
ReplyDeleteACHA UONGO!!!
DeleteAje Temeke, Ni jimbo pekee lisilojali mgombea anatokea wapi. Mfano Mzee Mrema na hata huyu Mtemvu hawakuwa wenyejeji wa TMK. Welcome Brother ZZK!
ReplyDeleteNjoo MBEYA umuondoe sugu huku hana jipya,,,,,kwa tiketi ya CCM
ReplyDeletehahaha debe tu aliachi kutika!!!!
ReplyDeleteMIYE NAOMBA AGOMBEE JIMBO LA MONDULI
ReplyDelete