Aliyekuwa mchumba wa Sugu, Faiza ashtakiwa na ndugu yake kwa kutishia kuua

Aliyekuwa mchumba wa mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph ‘Sugu’ Mbilinyi, Faiza Ally ameshtakiwa na binamu yake baada ya kudaiwa kumtishia kumuua.

Faiza ambaye ni mama wa mtoto mmoja aliyezaa na Sugu ameandika kwenye Instagram: Nimefunguliwa kesi na ndugu yangu ..RAHMA MOHAMED kwa kesi ya kutishia kuua – dah kweli mtu akikusudia mabaya hashindwi – Mungu wangu nisimamie Ameen Niko oyster-bay police.”
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Utakoma kujifanya mswalihina wakati ni malaya

    ReplyDelete
  2. huyu nahisi si mzima kiakili, toka sugu amfanye part time yake kawa zuzu, =))

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad