Ishu ilianzia kwenye mtandao wa Facebook ambapo Joel aliona picha ya Amanda akipima ugonjwa ambao haukujulikana ndipo kijana huyo alipokomenti kwamba eti msanii huyo ana ngoma.
Akizungumza na mwandishi wetu, Amanda alisema amechoshwa na watu wanaomkashifu mtandaoni wakidhani kila msanii ni mhuni.
“Nimeona nimtolee uvivu kwani asifikirie Bongo Muvi wote tunatumia ARV, mimi nimepima mara ya mwisho juzi na najiamini najua ninachokifanya, alinikera sana yule kijana ndiyo maana nikampa makavu,” alisema Amanda.
Wewe ni mmojawapo wa wasanii wahuni
ReplyDeleteUnalo hilo nini limekuganda.,mimba mnatoa toa Na huo
ReplyDelete..,km sio kweli kapime uweke majibu hadharani...nshamkuta chimbo moja iv hatari sana
..,
Anajihami, isitoshe anagawa kama pipi vile... Nenda kapime uweke majibu hadharani unamtusi bure huyo kijana Joel
ReplyDelete