Amanda Awa Mbogo Baada ya Kuambiwa Anatumia ARV

Staa mwenye ‘figa’ matata, Tamrina Posh ‘Amanda’ hivi karibuni aligeuka mbogo kwa shabiki wake aliyefahamika kwa jina la Joel baada ya kuambiwa eti ni mmoja wa wasanii wanaotumia vidonge vya ARV vya kuongeza siku za kuishi kwa waathirika wa Ukimwi.

Ishu ilianzia kwenye mtandao wa Facebook ambapo Joel aliona picha ya Amanda akipima ugonjwa ambao haukujulikana ndipo kijana huyo alipokomenti kwamba eti msanii huyo ana ngoma.

Akizungumza na mwandishi wetu, Amanda alisema amechoshwa na watu wanaomkashifu mtandaoni wakidhani kila msanii ni mhuni.

“Nimeona nimtolee uvivu kwani asifikirie Bongo Muvi wote tunatumia ARV, mimi nimepima mara ya mwisho juzi na najiamini najua ninachokifanya, alinikera sana yule kijana ndiyo maana nikampa makavu,” alisema Amanda.

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wewe ni mmojawapo wa wasanii wahuni

    ReplyDelete
  2. Unalo hilo nini limekuganda.,mimba mnatoa toa Na huo
    ..,km sio kweli kapime uweke majibu hadharani...nshamkuta chimbo moja iv hatari sana
    ..,

    ReplyDelete
  3. Anajihami, isitoshe anagawa kama pipi vile... Nenda kapime uweke majibu hadharani unamtusi bure huyo kijana Joel

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad