Askofu piusi erasto amefanya press conference leo habari maelezo akitoa msimamo wake kutofautiana na maaskofu kuhusu katiba Katiba ni nzuri anatoa uhuru wa kuabudu maaskofu katiba hii inaruhusu sisi kuhubiri injiri
Kwa mjiby wa Ibarra ya 41(1) katiba hii inaturusu maaskofu kuhubiri injiri bila kikwazo
Nasikitika wanaingilia waumini mambo ya ukomo wa ubunge madaraka ya uraisi hayatuhusu sisi. ....
Unakuta askofu mzima anaipinga katiba eti ni mbaya kisa haina ukomo wa wabunge ukimuuliza wewe askofu ukomo wako wa madaraka ya uaskofu ni lini atakuambia yeye ni askofu wa kudumu. ...kwa nini anaingilia ukomo wa nafasi za wengine wakati nafasi yake haina ukomo. ... maandiko yanesema usitoe kibanzi kwenye jicho la mwenzio wakati jicho lako lina borit....
Kuhusu madaraka ya raisi,mambo ya wakulima muundo wa muungano Askofu ikongo anasema waachiwe waumini ambao ni ukawa ni ccm na wasio na chama
Sisi maaskofu tubebe neno la MUNGU katiba hii ni nzuri saana kwa sababu imeBEBA uhuru wa kutangaza dini jambo ambalo maaskofu tulipasa tulipongeze na kuinadi katiba. ..
Bishop Piusi Erasto Ikongo Alikosoa Vikali Jukwaa la Wakristo, Asema Katiba Pendekezwa ni Nzuri Sana
5
April 01, 2015
Hii inaitwa"DEVIDE AND RULE SYSTEM waliitumia na bado wanaitumia western countries kuitawala na kuinyonya Africa indirect na nyinyi mnaiendeleza hii weaked fuckin'sfystem kujigandamiza wenyewe kwa wenyewe duh!whatta pity
ReplyDeleteJinsi alivyo tu ktk hiyo pict inaonesha alikimbia umande coz cjaelewa ni nini kazungumza hapo. Km ingekuwa kazi ya viongozi wa dini ni kuhubiri tu basi sidhani km kungekuwa na ustawi wa jamii pia kusingekuwa hata na vyuo wala hospitals za kidini. Huyo c askofu. Ni kilaza tu fulani mamluki.
ReplyDeleteAskofu wa mtaani huyo huoni
ReplyDeleteindeed this is divided rule ambayo baba Askofu amekubali kuingia yeye ni msemaji wa kanisa lake iweje awemsemaji wa kundi ambalo halikumchagua!!
ReplyDeleteDini na siasa ni vitu viwili tofauti.Bado nashawishika kumuunga mkono Bishop Erasto.Kama kuna kipengele katika katiba inayo pendekezwa kinacho zinyima dini uhuru na haki za kuendesha shughuri zao,hapo maaskofu watuweke wazi.Lakini habari yakusema tusipige kura ya ndiyo nikutuingilia katika uhuru wetu kama jamii.Wananchi eleweni hawa wanao sema tusipige kura ya ndiyo ndo wenye kufaidi misamaha ya Kodi!Hivi mnataka mfanyiwe nini?Kama mmejiingiza katika siasa semeni.Mahakama ya kadhi hakuna kipengele hicho katika katiba inayo pendekezwa!Mbona wakati wa BMK mlituma wawakirishi wenu na posho walichukua! "YAKAISARI MPENI KAISARI " YA MUNGU MPENI MUNGU"Acheni mnaligawa Taifa ninyi maaskofu!BWANA ANASIKITIKA JUU YA HAYA MYAFANYAYO."FUNGENI NA KUOMBA MPEWE JIBU HILI NA MUNGU WA YAKOBO"AMINA BWANA
ReplyDelete