Wakati akihojiwa na Clouds Fm kipindi cha leo Tena alipoulizwa anachopenda zaidi kwa Zari ni kitu gani?
Alifunguka kuwa anachopenda ni tabia ya Zari ya kujielewa. Akaendelea kufunguka Zari anajua kutofautisha maisha yao halisi na maisha ya instagram. Kwani baada ya maisha ya instagram ya mapichapicha anajua kuwekeza kwa ajili ya kesho na ni mshauri wake wa mipango ya kimaendeleo.
Pia anasema anazimia ngozi yake Zari Ile mbaya.
Kasema mtarajie mtoto na atakuja kwenye social media kuwaomba mmchagulie Jina siku zikifika maana huyu ni mtoto wa kitaifa.
Amekataa katakata kusema kati ya Zari na Wema nani anayaweza zaidi licha ya kubananishwa sana na watangazaji.
Pia alitumia nafasi hiyo kukanusha uvumi kuwa kagombana na Fela baada ya kumshauri Fela awanunulie gari Yamoto kwani kasema Yamoto wanajengewa kila mtu nyumba yake kitu ambacho ni kikubwa kuliko gari. So huo uvumi ni wa uongo.
Pia alikanusha kuwa na nyama ya kusindika (beef) na Ommy Dimpoz.
Nb: Mimi nimependa hiyo spirit ya Zari muda wa kazi mnapiga kazi, muda wa mapenzi mapenzi na muda wa kuuza sura mnauza sura.
Diamond Afunguka Kiroho Mbaya Kinachomfanya Ampende Zari, Akanusha Kugombana na Fela
6
April 10, 2015
Tags
Ofcourse lazima ampende Zari kwa sababu za kisaokolojia. Diamond ameathirika sana na kukosa malezi ya baba au father figure kwenye maisha yake. Amelelewa zaidi na mama yake, kwa hiyo yeye ni mtoto wa mama au mummy boy. Wanaume design hii huwa hawadumu na wasichana wadogo kwa sababu wao muda wote wanataka wapate malezi kama ya kwa mama zao, hivyo akipata mtu motherfigure ambaye atakuwa anamdekesha kama mtoto habanduki.
ReplyDeletePili ni insecurities alizonazo, kwa mwanaume kama yeye anajiona yuko secure zaidi kuwa na mwanamke aliyemzidi umri. Anajivunia udogo na ujana wake kama assets za kumfanya huyo mwanamke atulie kwake, tofauti na mwanamke ambaye ama wanalingana umri au yuko chini yake kidogo au wanapishana kidogo huwa anahisi ushindani ni mkubwa anaweza ibiwa muda wowote ule.
Sio Diamond tu vijana wengi hufeel secure wakiwa na mijimama aka wanawake waliowazidi umri ambao huziba nafasi za mama zao. Ningeendelea kiundani zaidi hasa kwenye issue ya experience kunako 6 kwa 6 kutoka kwa hawa wamama huwadatisha vijana wadogo, hupewa vitu ambavyo hawajawahi kuvipata kutoka kwa dogo2. Anyway ngoja niishie hapa kwa leo ni mada ndefu hii nikianza kuichambua nitafika mbali.
Hayo ni mawazo yako tu ndugu yangu, Tupo wengi tuliolelewa na mama zetu na wengine hata sura za baba zetu hatuzijui lakini hatujawa ma' mummy boy hata kidogo, na hata wake tulioowa ni wa umri mdogo kuliko sisi
DeletePolee...ila ndo ukweli huo kwa wengi wenu mnapenda vya kupewa na kubembelezwa
DeletePolee...ila ndo ukweli huo kwa wengi wenu mnapenda vya kupewa na kubembelezwa
DeleteDAH MDAU HAPO JUU UMESEMA SAWA KABISA MIYE NIMEIPENDA!! BIG UP
ReplyDeletehahahaaaa, kweli usemayo mdau. japo mama anadai ni 34 kumbe ni 41+
ReplyDelete