Sasa yote haya matusi ya nini wenzangu???? kisa ati Diamong kamuonyesha chanda chake cha roho huduma ya mapenzi...mmmmm wafrika bwana!!!!! wacheni wivu kama unasikia wivu hata nyie fanyeni hivyo kwani nani kawazuia ???? stop being stupid you guys and grow up....heeee
hio ni kawaida tu...lkn kwa anvopenda sifa kuna siku atatuekea picha anamnyoa mavuzi hy bikizee
ReplyDeletewivu wako tu!!!
DeleteBaabkubwa watu wamekudindishia kutoa comments ewe muandishi mchochezi
ReplyDeleteWANAUME WA KIAFRICA NI WACHACHE WANA WANAOTOA HUDUMA HIZO KWA WAKE ZAO ACHILIA MBALI WAKIWA WAJAWAZITO !!! BIG UP DIAMOND. I DO LOVE YOUR COUPLE!!
ReplyDeleteSasa yote haya matusi ya nini wenzangu???? kisa ati Diamong kamuonyesha chanda chake cha roho huduma ya mapenzi...mmmmm wafrika bwana!!!!! wacheni wivu kama unasikia wivu hata nyie fanyeni hivyo kwani nani kawazuia ???? stop being stupid you guys and grow up....heeee
ReplyDelete