Diamond na Mpenzi wake Zari Wagoma Kutaja Jinsia ya Mtoto wao Mtarajiwa Kwa Kuogopa Wafitini

STAA wa Muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, amefunguka kuwa hayupo tayari kuitaja jinsi ya mtoto wake mtarajiwa kwa kuogopa wafitini.

Akizungumza na mwanahabari wetu, Diamond anayetarajia kupata mtoto kwa mpenzi wake wa sasa, Zarinah Hassan ‘Zari’, alisema anamshukuru Mungu hadi sasa tayari anaijua jinsi ya mwanaye lakini hayupo tayari kuitaja.“Tayari baby ameshapima na kujua jinsi ya mtoto lakini siwezi kuitaja kwa sasa maana wabaya nao ni wengi sana mjini hapa,” alisema Diamond.

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mzae wa kike au wakiume,mtajijua wenyewe na umalaya wenu,apo chacha,mama kiwembe baba kitombwino,mtt atawaza dudu akiwa ana miezi tu..kwendraaaa nani mbaya,ww ndo mbaya ndo maana wajua wabaya wenzako

    ReplyDelete
  2. KIROHO KINAKUUMIA NINI, HATA NA WEWE NI MALAYA TENA MALAYA MBWA KWANI NANI HASIYEKUJUA

    ReplyDelete
  3. halafu huyu Zaituni anamakengeza, ndo maana haishi kujihashua, eti mzuri manababaika na weupe wa sindano. na huyo Dai ndo walewale utafikiri dunia nzima haijazaa yeye ndo wakwanza. sipati picha mtoto ataanza ufuska miaka 10, mama na baba woote toy sex.

    ReplyDelete
  4. LABDA ATAZAA NYAU NDO MAANA HATAKI KUTAJA JINSIA, WAMEDODA KILA CKU WANATAFUTA CHA KUANDIKWA.

    ReplyDelete
  5. siku hizi hata wapambe wao wamechoka nao, hata Sinta na Lekunukaz wamefunga midomo. sijui hajapewa mshahara?au...

    ReplyDelete
  6. azae ngedele tujue moja. mtoto hata paka kazaa, wasituchoshe wa uzinzi wao. demu mwenyewew makengeza 41+

    ReplyDelete
  7. Hawa wanajisahau, mbona kuna sehemu aliandika comment Diamond, ni wa kike.

    ReplyDelete
  8. JAMANI KUMBUKENI KUNA MUNGU MTU UNAMWAMBIA MWENZIO AZAE NGEDERE AU MTOTO ATAWAZA MABOO AKIWA N MIEZI 9 MMMMMMHHHHHHH AU UFSKA MIAKA 10 HIVI NYINYI MNATUKANA WAKUNGA WAKATI UZAZI UNGALIPO KUMBUKA WEWE UNAE SEMA IVO NA WEWE PIA UNA KIZAZI UTAZAA HAYA MUNGU AKAJALIA UKAZAA WEWE HUYO NGEDERE UTASEMA NINI FIKIRIA KWANZA HATA KAMA UNAMCHUKIA MTU LKINI SIO KWA KUMWAMBIA IVOO MUNGU YUPO JAMANI MNAJISAHAU SANA

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad