Gaidi wa Kitanzania Aliyekamatwa Nchini Kenya Kwenye Tukio la Mauaji Garissa Ahojiwa

Mtanzania mmoja ambaye alikamatwa kuhusiana na shambulio la kigaidi katika Chuo Kikuu cha Garissa, Kenya (jina linahifadhiwa) ahojiwa.

Taarifa zilizopatikana juzi usiku na kutangazwa na Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC), zilieleza kuwa Mtanzania huyo alihojiwa kuwapo kwake katika eneo hilo hasa ikizingatiwa kwamba siyo mwanafunzi wala mtumishi katika chuo hicho.

Taarifa hizo zinasema kuwa Mtanzania huyo ni miongoni mwa watu wanne waliokuwa wamejificha katika mabweni ya chuo hicho na kati yao, wawili walibainika kuwa ni wanafunzi.

Baada ya kuhojiwa akakiri kuwa wamepanga kufanya shambulio kubwa nchini Tanzania katika Tamasha la Pasaka lilopangwa kufanyika tarehe 05/04/2015 Dar es salaam.


Hata hivyo, Msemaji wa Jeshi la Polisi, Advera Bulimba alipoulizwa jana kuhusu Mtanzania huyo,alikiri hayo na kusema bado wamemuweka chini ya ulinzi kwa ajili ya uchunguzi zaidi.

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. WATANZANIA INABIDI TUWE MACHO,HASA KWA HII MISIKITII SIYOTAMBULIWA NA BAKWATA AMBAYO INATOA MAFUNDISHO MABAYA KWA VIJANA WA KIISLAM.

    ReplyDelete
  2. Chunga ulimi wako wewe mbuzi

    ReplyDelete
  3. Ukweli ndo huo misikiti hii inayoanzishwa bila vibali ni noma

    ReplyDelete
  4. Mbuzi mama yako aliyekuzaa, mnajifanya kuvaa ushungi na kuhubiri kinyume na Kuruani na Dini ya ki Islam inavyosema..Tutawakung'uta mpaka mnatemelea magoti.. Mshenzi wewe

    ReplyDelete
  5. MISIKITI IMEFANYA NN HAPO JIANGALIE NA ULIMI WAKO

    ReplyDelete
  6. Mbuzi ni wewe unayesapoti mauaji

    ReplyDelete
  7. Baadhi ya misikiti inasapoti mauaji

    ReplyDelete
  8. YOTE YATAKUWA SANA,OMBENI SANA KWA KUMAANISHA.

    ReplyDelete
  9. acheni ujinga ,Mkristo na Muislam wote ni watu na Mungu ni mmoja.

    ReplyDelete
  10. Achaeni Imani uchwara

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad