Gwajima Atoa Video Nyingine Yenye Maneno Yenye Utata, Angalia Hapa.

Gwajima Akiwa kwenye Kitu cha Wagonjwa Anaonekana Kwenye Video Akitoa Maneno yenye utata kumsema mtu kwa Mafumbo ..embu angalia hapa chini kwenye Video:

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. MSANII TU HUYU,, ANATAKIWA KUCHUKULIWA HATUA!

    ReplyDelete
  2. Gwajima yeye anaombea wagonjwa na vilema wanatembea mara moja,sasa yeye yupo ktk kiti kwa siku nane sasa kwanini hasijiombee apone na kutembea?Jamani hawa jamaa ni matapeli tuu hawana uwezo huo angalieni nyie wajinga msio na akili mnadhulumiwa mahela yenu nao wanakuwa matajiri kwa ujanja wao.
    Enyi wagalatia msio na akili,ni nani aliyewaroga na kuwekwa mbele yenu kuwa hawa wachungaji wanafufua na kuponyesha watu? Galatia 3-1

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad