Madaktari, wanasiasa, wafanyabiashara wamekuwa wakitoa misimamo yao lakini hawabughudhiwi iweje Gwajima tu? Nitaendelea kuwapa vidonge vyenu kila mtakapopotoka, nafanya kazi ya bwana,” alisema Gwajima
Kuhusu utajiri wake pia Gwajima amesema anashangazwa na vyombo vya Serikali vinavyohoji utajiri alionao bila kujua anaongoza idadi gani ya waumini. Alisema anaongoza kanisa lenye waumini zaidi ya 70,000 ambao akiwaomba kila mmoja ampe Sh1,000 tu atakuwa na Sh70 milioni, na kama wakiamua kutoa elfu 10, 000 basi atakuwa na milioni 700.
Nini mtazamo wako katika hili? Na unapenda mwambia nini Gwajima?
WEE BOLONGA TU ,, UTAKUJA JUTIA
ReplyDeleteusishindane na serikali ukiwa unakosa
ReplyDeleteGwajima ni muagaikaji kama wengine mjini.Baya zaidi anatumia jina la mungu kuibia watu wenye matatizo wakristu ambao ni wabia katika biashara ya Gwanyima .Nyie watu amkeni hizo mali za Gwajima nizenu. Anawaibia inabidi serikali inayokuja imkarie kooni sana aludishe pesa za watu .
ReplyDeleteKwahiyo unamaanisha sadaka zote watu wanazo zitowa kanisani ni mali ya gwajima
ReplyDeleteAUZE MALI ZAKE ZOOTE KISHA AWAGAWIE WATU MASIKINI
ReplyDelete