How Come Hizi Ajali Zitokee Kwa Kiasi Kikubwa Hivi Kipindi Hichi na Kuua Watu Wengi ?


Siku hizi ajali zimekuwa nyingi sana barabarani tena nyingi zikihusisha mabasi ya abiria kugongana na lori au basi kwa basi na kusababisha ndugu zetu wengi kupoteza maisha.. Ukifatilia kwa makini utaona nyingi zinasababishwa na Madereva wetu ku-overtake gari la mbele yake sehemu zenye hatari.. Hiii inasikitisha sana maana watu wengi wanapotea kwa uzembe mdogo tu.

Je haya pia ni mapenzi ya Mungu kuwa watanzania wapoteze maisha kwa ajali zisababishwazo na uzembe barabarani pamoja na mwendokasa? 
Kwa upande wako wewe, una lipi la kusema juu ya hili?

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Madereva wanoendesha magari TZ wengi wao wamejifundishia kuendesha magari chini ya miembe/vichochoroni na siyo kwenye DRIVING SCHOOLS sasa zile sign speed limits zebra lines ovetaking manouver distance kati ya gari na gari iwe meter ngapi indicators kuonyesha mabye unataka ku turn left or right na mengineyo mengi ya muhimu katika undeshaji gari hawana/hawajui sasa unategemea usalama wa dereva na abiria wake utatokea wapi?Kiboko yake ni waende kwenye DRIVING SCHOOLS na wazifuate sheria kama zilivyo na siyo ubabe wa kipumbavu barabarani unaosababisha maafa na majonzi everyday on our streets allover Tanzania

    ReplyDelete
  2. Leo umeandika habari hii ndio taaluma kuelimisha Jamie sio diomond kajamba Mara wema Mara kajala itatusaidia nini nakushukuru kwa hili to tolea macho suala hili serikali imelala madereva mateja abiria awajui haki zao please fuatilia mdau USA

    ReplyDelete
  3. Kuna idara ya leseni za gari TZ?kama zipo basi ni wakati wa mabadiliko wa sheria za leseni madereva ni lazima waende skuli za magari makubwa na madogo,dereva akikamatwa kalewa ni kupokonywa seleni,camera ni lazima kwenya magari yote ya biashara,ni wakati tujali maisha yetu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad