Kutokana na Kuanguka kwa upande mmoja wa ukuta wa uzio wa Nyumba ya Diamond Gazeti moja maarufu limeongea na injinia mmoja wa majengo aitwaye Injinia Stuart na kusema kuwa ukuta huo inaonekana umejengwa kwa ratio ndogo sana hivyo ni rahisi kuanguka..
Aidha injinia huyu wa majengo amesema japo nyumba inaonekana ina marembo mengi na nzuri lakini kama nayo ilijengwa kwa ratio hiyo iliyotumika kujenga ukuta basi kuna hatari ya nyumba yote kuanguka hapo baadae , Injinia huyo amemshauri Diamond Kuleta wataalamu na kuipima nyumba yote ili isije kuleta madhara makubwa
Diamond alifuatwa na kuambiwa lakini mwenyewe alisema kuwa fundi aliyejenga ukuta ni tofauti na aliyejenga nyumba hivyo anaamini nyumba ilijengwa katika ratio nzuri..
Udaku Special Blog
Injinia wa Majengo Adai Nyumba ya Diamond imejengwa Chini ya Kiwango..Amshauri Diamond kufanya Haya
2
April 23, 2015
domo kuwa mbishi tu, siku moja utakuta nyumba yote chini, hawa mafundi wa siku hizi hamna kitu wao ni pesa tu!
ReplyDeleteHe kumbe kweli ukuta ulianguka? Sasa timu naniliu walikuwa wanabisha na kutukana watu kuwa si kweli haya kiko wapi sasa. Moja baada ya nyingine, leo ukuta, kesho baba wa mtoto atakuja kudai mwanae, keshokutwa?????
ReplyDelete