John Mnyika Amshambulia Zitto Kabwe Mtandaoni, Vita yao Sasa ni zaidi ya Siasa...

Mkurugenzi wa habari na uenezi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amemshambulia kwa maneno makali hasimu wake na adui namba moja wa Chama chake Mhe Zitto Kabwe kwa kumuita muongo na kwamba amewatumia waandishi wa Habari kuandika taarifa za Uzushi kuhusu Mnyika.

Mnyika ametoa tuhuma hizo dhidi ya Zitto asubuhi hii kupitia akaunti yake ya Twitter na kumtahadharisha Zitto kuwa atamchukulia hatua Kali za kisheria kwa kupitosha mazungumzo ya Mnyika na familia ya Mwalimu Nyerere.

Sasa hivi imebainika kuwa ni vita kamili baina ya Zitto na Mnyika hasa baada ya kubainika tetesi kuwa Zitto anagombea jimbo la Ubungo ambalo liko chini ya Mnyika hivi sasa.

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tuasikitishwa na vijana wwnzetu na chuki zao Anna hii watu wataamini kwwli kwamba hatuwezi

    ReplyDelete
  2. Mnyika anajua kua zitto nikiboko yao ndio maana analeta chuki wazikabisa naomba zito agombee ubongo ntakua wakwanza kumng'oa mnyika nakura yangu

    ReplyDelete
  3. Vita vya panzi!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad