John Mnyika Nae Awasha Moto Musoma, Umati Mkubwa wa Watu Wajitokeza Kumsikiliza

Picha hizo za mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Kaimu Katibu Mkuu John Mnyika jana jioni Musoma, Uwanja wa Mkendo baada ya asubuhi kuzindua mafunzo ya timu za kampeni, viongozi wa chama na viongozi wa serikali za mitaa kwa kanda ya Serengeti (Mara, Simiyu na Shinyanga), ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kushinda dola na kuongoza serikali, kama yalivyozinduliwa kitaifa na Mwenyekiti wa Taifa hivi karibuni jijini Dar es Salaam.


Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. sasa naamini kuwa watanzania hasa bara wanapevuka kisiasa kwani inaonesha wanasikiliza kila mkutano unaowekwa na kutafakari

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad