Joketi 'Kuna Mtu Namtamani Sana Kimapenzi na Ninamvutia Kasi Nimpate'

Aliyekuwa miss Tanzania nambari mbili Jocate Mwegelo “jojo” amefunguka kuwa kuna mtu anamtamani sana kimapenzi na anamvutia kasi kumpata

Kupitia bonge moja la show weekend “the playlist” Kidoti, alisanuka hayo akihusisha ukweli huo na kile alichokiimba kwenye hit single yake “Leo leo” na Ice Prince

“Yah nyimbo inahusiana coz kuna mtu namtamani sana yani, ila akizingua tu nambwaga bado namuangalia” alisema Jojo

Hata hivyo Jocate hakuwa tayari kumtaja mtu huyo anayemvizia.
Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mwishoe utakuwa changudoa

    ReplyDelete
    Replies
    1. lini? tayari hiyo..

      Delete
    2. kawe changu mara ngapi? kutwa kupakuliwa kama mchuzi

      Delete
  2. mimi mwenyewe namzima Ali kiba lol, Kiba forge about Tanzania Bitches, Marekani girls want you zoo bad.

    ReplyDelete
  3. hakika anacho kifanya joketi nijambo la aibu na kujidhalalixha mbele ya jamii wanaomzunguka hata hivyo axipokuwa na mximamo atatangatanga na wanaume mwixhowe atakuwa changu wakugawa uroda kwa kila mwanaume anae mvutia

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad