Kipa wa Simba JR MANYIKA 'Anae Sema Naima Ananiua Kiwango Aje Acheze yeye Mimi Sio Khanisi Nina Haki ya Kuwa na Mpenzi'

BAADA ya Simba kufungwa mabao 2-0 dhidi ya Mbeya City katika mechi ya ligi kuu soka Tanzania bara iliyopigwa uwanja wa Sokoine mwishoni mwa juma lililopita, kipa kijana wa Msimbazi, Manyika Peter Jr alilaumiwa na mashambiki kwa kudaka chini ya kiwango.
Mashabiki hawakuridhishwa na udakaji wake na kudai ameshuka kiwango tangu awe katika mahusiano ya kimapenzi na Mrembo mmoja anayeitwa Naima.
Baada ya lawama kijana Manyika Jr alikuja juu na kutoa majibu yanayoonekana pichani chini kwa mashabiki wa Simba wamamshutumu kushuka kiwango kwasababu ya mapenzi.

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. MANYIKA HAYO MANENO HAYANA BUSARA WALA HEKIMA.

    ReplyDelete
  2. HAYANA BUSARA NN HAMTAKI MWENZENU ATOMBE MNATAKA MTOMBE NYIE TU MAMAEEEEEEEEEEE

    ReplyDelete
  3. hahahahaha sawasawa,mnataka mtombe nyie tu..mwacheni agonge shombeshombe huyo

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad