Kuna Taarifa za Muigizaji Wastara Juma kupata Ajali,Soma Hapa

Mwigizaji Wastara leo ameandika maneno zaidi ya 100 na kuambatanisha na picha kuthibitisha kuhusu ajali aliyoipata japo hajaandika kwa undani zaidi kuhusu ajali yenyewe.

Wastara baada ya kuweka hii picha haya ndio maelezo aliyoyatoa :
 

"DUA ZENU MUHIMU SANA KWA MBAO MNAONIPENDA NA MSIONIPENDA……hali hii imenichosha sana ya matukio ya ajali kila mara natamani kuwa na amani na maisha yangu couz mungu ana sababu kuniacha niendelee kupumua mpaka leo

"Ila kwa wanaochukia kuona napumua wanatamani nizikwe hata mzima ila mtambue nina watoto watatu wananitegemea kwa kila kitu sometime mnasema nasikitika sana ni kweli sababu mi sio nabii nikihesabu hii ni ajali ya ya 9 sasa tena ni mbaya sana za kufa kabsa ila labda nimo kwa wale wanaopta ajali kipindi hiki japo kwangu ni too much,, ni jana na leo napumua alhamdulilah duwa zenu niombeni jamani huyu jinamizi akae mbali nami daah too much"
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Duuuuh pole sana.. Ila kweli Mungu naye akiangalie Huyu dada ni anapata ajali jamani mpaka huruma. Mungu atakulinda. Jamani mimi dar naogopa hata kutoka barabarani wewe unawezakuta unaendesha gari vizuri Ila kuna wengine na hawaelewi mana yahayo magari nahisi wanasahau kama ukipata ajali inaweza kufa. Madereva nao hawajali kitu. Unakuta dereva anaendesha gari pembeni anakiroba hali tete.

    ReplyDelete
  2. punguza usafiri wa pikipiki dada angu!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad