Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba katika stendi ya Ubungo jijini Dar es Salaam kuna mgomo wa madereva waendeshayo mabasi yaendayo mikoani. Mgomo huo umeanza leo kama ambavyo muungano wa madereva wa vyombo vya usafiri waliahidi wakidai kutotatuliwa kero zao na serikali. Taarifa zaidi pamoja na picha vitawajia hivi punde.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Hivi huyu nassoro mtanzania kweli ametokea wapi au ndio milaga hiyo
ReplyDelete