Makadirio ya Mapato ya Askofu Ngwajima kutoka Kwenye Sadaka za Waumini

Kama ni kweli Ngwajima ana waumini wasiopungua elfu sabini na wanaenda kanisani mara mbili kwa wiki basi Ngwajima anaingiza zaidi ya bilioni tatu kwa mwaka (makadirio ya chini kabisa)

NI HIVI:
Tufanye kila muumini wake hutoa sadaka ya sh. 500 tu-hiyo ni flat rate, ina include waliotoa elfu kumi, waliotoa sh mia na wasio toa kabisa.

Hivyo basi kwa siku moja kwa waumini 70,000 wakitoa sh 500 ni sawa na sh milioni 35. Kwa wiki wanaenda mara mbili hivyo ni sawa na sh milioni 70.

Kama kwa wiki anaingiza milioni 70, je kwa mwezi anaingiza kiasi gani? Uki cross multiplication utapata milioni 280 

Kama kwa mwezi anaingiza milioni 280, je kwa mwaka anaingiza kiasi gani? uki cross tena multiplication utapata bilioni 3 na milioni 360. Sasa piga hesabu kwa miaka yote aliyotoa huduma ameingiza sh ngapi?

Kwa mantiki hiyo pesa aliyonunulia Hummer aliipata ndani ya mwezi mmoja tu.

Achilia mbali fungu la kumi na pesa mbali mbali anazopewa kama zawadi, hapo tumepiga hesabu ya sadaka tu.

NAMALIZIA, Biblia inasema "vya madhabahuni vitaliwa na wamadhabahuni" full stop.

Udaku Specially Blog


Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wa moja atabakia kuwa wa moja na wa mbili atabakia kuwa wa mbili kidogo alichokuwa nacho kitachukuliwa na kuongezewa kwa yule ww mbili"MATHAYO:13 AGANO JIPYA

    ReplyDelete
  2. Wa moja atabakia kuwa wa moja na wa mbili atabakia kuwa wa mbili kidogo alichokuwa nacho kitachukuliwa na kuongezewa kwa yule ww mbili"MATHAYO:13 AGANO JIPYA

    ReplyDelete
  3. Je analipa kodi?

    ReplyDelete
  4. HAWA NI WEZI WA KIMASOMASO, NI BINAADAMU WALIOVAA NGOZI YA CHUI,, SERIKALI INAKAA KIMYA IKIWAACHIA KUVUNA MAPESA YASIYO NA KODI KWA KUJIFANYA KUWA WANAWEZA KUWAOMBEA WAGONJWA WAKATI WAO WANAENDA MAHOSPITALI KUTIBIWA,,, KWELI MAKANIZA YAMEKUWA KIZAA ZAA1

    ReplyDelete
  5. Duhhhhhhhhhhhhhhhh

    ReplyDelete
  6. Ni hatareeeee, nyingine si zingejenga basi kanisa la kueleweka.

    ReplyDelete
  7. Inawahusu nini, kwani watu si wanatoa kwa hiari yao? hakuna mtu amelazimishwa kutoa kile anachotoa, anatoa kwa Imani, na Kibiblia kutoa ni kupokea. Bibilia inasema tukitoa tutaongezewa na ndivyo ilivyo. "Apandaye haba utavuna haba, apandaye kwa ukarimu atavuna kwa ukarimu" 2 Wakorintho 9:6

    ReplyDelete
  8. Wajinga ndio waliwao eeeemen. Haleluyaaa.EMEEEEEN.Hahahah poleni sana

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad