Mch. Gwajima Amgomea Makonda, Asema Hatopoteza Muda Wake Kwenda Kumuona Mkuu Huyo wa Wilaya


Mchungaji wa makanisa ya kipentekoste mch. Josephat Gwajima amesema hatapoteza muda wake kwenda kumuona Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda.

Amesema barua aliyoipata toka kwa Mkuu wa Wilaya imemfedhehesha na kasema hataijibu itajibiwa na maombi ya mnyororo yanayoendelea.

Chanzo: Kutoka magazetini.

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Paul Makonda huyu-huyu aliyemtandika makofi Jaji Warioba?

    ReplyDelete
  2. tatizo sio makondo shida ni hawa wakuu wa wilaya hawana kz, hawajui hata kwa nn wanateuliwa

    ReplyDelete
  3. Kwa mantiki hiyo basi Gwajima ataitwa pia na TISS,EWURA,TABOA,TCRA,SSRA,TBS , ili akatoe maelezo. Akimaliza huko ataitwa TANESCO kuhusu luku na TZ AIRPORT AUTHORITY kuhusu chopper yake.Yote hiyo ni Katiba pendekezwa.

    ReplyDelete
  4. MAKONDA, TULIA DOGO SUTI HIYO YA U DC. HAIKUYOSHI

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad