Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limeitaka Simba kumlipa mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe
kiasi cha Dola 7,000 (Sh 13,545,000) anazoidai klabu hiyo.
Simba jana ilipandishwa kizimbani kwa kesi tatu za madai ya fidia kwa waliokuwa waajiriwa wake ambao ni wachezaji Amissi Tambwe na Haruna Chonongo pamoja na kocha Zdravko Logarusic.
Kamati ya sheria na hadhi za wachezaji chini ya mwenyekiti wake Richard Sinamtwa ilisikiliza shauri la Tambwe ambaye alikuwa anaidai Simba jumla ya kiasi cha Dola 7,000 zilizotokana na klabu hiyo kuvunja mkataba wake.
Simba ilitakiwa kumlipa Mrundi huyo fidia ya Dola 6,000 (Sh 11,610,000), pamoja na dola 1,000 (Sh 1,935,000) zikiwa ni malimbikizo ya mshahara wake.
Katika shauri hilo Simba iliyowakilishwa na Katibu wake Steven Ally, ilikubali kudaiwa na Tambwe, ambapo kamati ikiagiza malipo hayo yafanyike kwa awamu mbili ikitakiwa Aprili 30 kulipa Dola 5000 (Sh 9,675,000) kabla ya Alhamisi hii na kumalizia Dola 2,000 (3,870,000) ifikapo Mei 10, 2015.
Aidha kamati hiyo imeitaka Simba kuhakikisha inasimamia utekelezaji wa makubaliano hayo kama watashindwa kufanya malipo hayo mapato ya mechi zake za mwisho yatashilikiliwa kulipa madeni hayo.
Mbali ya Tambwe, mwingine anayetarajia kuvuna fedha kutoka Simba ni winga wao Chanongo anayecheza kwa mkopo Stand United anayedai kutolipwa nusu mshahara wake kama ilivyokuwa katika makubaliano ya mkataba wake.
okwi kawaponza hawa!!! haya sasa!!! hizi hela sijui watatoa wapi sababu wana ukata hawa!
ReplyDeleteWala sio Okwi,tatizo viongozi simba shule hakuna,wanapenda sifa za kijinga,Yanga wenyewe waliliona hata swala la kuonyesha mchezo azam tv italeta tabu lakini wakaonwa kama wana chuki na Azam.
DeleteNgoja tuone hali itakuwaje maana hali ilivyo hata kukopa bank hawawezi.
Kina Aveva na kundi lake wasenge sana mbwa hasa.,wamechangia kuharibu timu yetu kwavijisenti vyao hawajui lolote linalohusiana na kuimarisha timu wanaacha majembe wanachukua magarasa,wamekalia biashara ktk soka kuma sana hasa.,ktk uongozi uliombovu huu Ni kiboko,wanawagawa mashabiki,uongozi hawaelewani yaani Ni sheeeeeeda mpaka mjiuzulu kuku nyie.,madeni yote nisababu yenu mambumbu mnaiingiza club kwny madeni kibwege.,siwapendi km ukimwi ondokeni zenu msitufanye tukaanza kuichukia club kwasababu yenu mapimbi nyie.....,
ReplyDelete
ReplyDeleteSifa sio kuifunga yanga sifa ni ubingwa,je awamu nyingine mmejipangaje?Au tukubali maneno ya Jerry kuwa mna soka la mchangani?