Muswada wa mahakama ya kadhi umeondolewa rasmi hivyo hautojadiliwa bungeni. Katibu wa bunge Thomas Kashilila amesema kuwa muswaada huo hautakuwepo kwenye ratiba za bunge badala yake nafasi hiyo itachukuliwa na miswaada mingine kujadiliwa.
Source: Gazeti Uhuru
NI KIKWETE PEKEE NDIYE MWENYE MAWAZO HAYO,, SIJUI ANAOGOPA NINI BAADA YA KUACHA URAHISI
ReplyDeleteJamaa ana walakini
ReplyDeleteSafi Sana. Nchi yetu serikali yetu gains dini. Wale wanaoitaka wahamie Kyle ilipo hio mahakama. Kuhamia nchi nyingine risks. Tusibuluzwe na watu wachache wenye tamaa za kidunia.
ReplyDeleteSifa zakisenge yy baada yakuwafunga mafisadi anataka kuacha migogoro isiyokua nafaida
ReplyDeleteYEYE MWENYEWE A NI FISADI, ANAOGOPA PINGU ENDAPO ATAMALIZA MUDA WAKE
ReplyDelete