Mswaada wa mahakama ya kadhi waondolewa bungeni

Muswada wa mahakama ya kadhi umeondolewa rasmi hivyo hautojadiliwa bungeni. Katibu wa bunge Thomas Kashilila amesema kuwa muswaada huo hautakuwepo kwenye ratiba za bunge badala yake nafasi hiyo itachukuliwa na miswaada mingine kujadiliwa.

Source: Gazeti Uhuru

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. NI KIKWETE PEKEE NDIYE MWENYE MAWAZO HAYO,, SIJUI ANAOGOPA NINI BAADA YA KUACHA URAHISI

    ReplyDelete
  2. Jamaa ana walakini

    ReplyDelete
  3. Safi Sana. Nchi yetu serikali yetu gains dini. Wale wanaoitaka wahamie Kyle ilipo hio mahakama. Kuhamia nchi nyingine risks. Tusibuluzwe na watu wachache wenye tamaa za kidunia.

    ReplyDelete
  4. Sifa zakisenge yy baada yakuwafunga mafisadi anataka kuacha migogoro isiyokua nafaida

    ReplyDelete
  5. YEYE MWENYEWE A NI FISADI, ANAOGOPA PINGU ENDAPO ATAMALIZA MUDA WAKE

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad