Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amewacha njia panda mashabiki na wafuasi wake kwenye mtandao wa INSTAGARM baada ya hapo jana usiku kubadika picha ya mwanamke mwenye ujauto na kuandika maneno ambayo hayaelezi wazi kuwa ni yeye.
“Happy New Month Lovies….Si ruksa kuitana wala ku munch”-Lulu aliandika.
Kitendo cha Lulu kuchimba mkwala akiwata watu wasiitane kuja kuona wala kufanya kijiwe cha kujadiliana juu ya picha hiyo (Kama inavyoonekana hapo juu) ndio kuliamsha hisia yz watu kuwa inawezekana mrembo huyo atakuwa anaujauzito hata kama picha hiyo siyo yake na hiyo anajaribu kudokeza watu kiana.
Lakini pia wapo waliochukulia ni utani tu, huku wengine wakimpongeza kwa kujaaliwa kupata ujauzito.
Lulu hakuibuka kujibu komenti nying za watu ambao zilikuwa zikihoji kana ni kweli au la.
Muda utazungumza, tuvute subra...
Mwigizaji Lulu Michael Apachikwa Ujauzito..Atupia Picha ya Kitumbo Mtandaoni
2
April 01, 2015
FOOLISH DAY
ReplyDeleteMe tangu kamuua KANUMBA simpendi huyu dada jamani, I hate you LULU. Hivi ni kwa nini hafungwi huyu jamani, Pistorial wa SA kachukua mvua kadhaa kwa kosa linalofanana kabisa na hili. Linakula bata kwa kujidai ili hali kampeleka mwenzie kwenye mbinguni hivi hiviiii!
ReplyDelete