Mwigizaji Lulu Michael Arudi Tena Instagram Baada ya Kujitoa siku ya Kifo cha Secky

Siku ya Jana Accounts Mbali mbali  Maarufu za Instagram zimeshinda zikipost kuwa Lulu michael amerudi instagram kwa jina la lizymichael  Baada ya Kujitoa siku Secky alipofariki Dunia Baada ya watu kuanza kumuhusisha lulu na Kifo Hicho kitu ambacho hakikuwa Kweli ....

Baadhi ya Meseji huku instagram kuhusu kurudi kwa lulu Insta hizi Hapa:

lulunation_ Lulu amerudi instagram asante Mungu kwa yote account yake org ni @lizymichael
@lizymichael @lizymichael
@lizymichael
@lizymichael
follow  13h

sephoramwakalinga Karibu swthrt..saiz kua na moyo km wa jambaz @lizymichael hao shain wasikupe shida coz hakuna jipya chini ya jua, ishi utakavyo...hao machokoraa wanaojiropokea acha waendelee kujifurahisha coz hawawez kua wewe. 11h

proudoflulumichael Mungu amekuchaguwa wewe ili uwakomboee na wengine @lizymichael @lizymichael ...


proudoflulumichael She is Back again my Queen Lizy now you can follow her .Her new account is @lizymichael @lizymichael @lizymichael @lizymichael ..Wellcome baq


Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mabwana za watu watakuua we mtoto.. umeanza mapema sana..

    ReplyDelete
  2. Wache tu wambokoe

    ReplyDelete
  3. WAUME ZA WATU NDIYO WANAOLIPA, NYIE VIKOJOZI MNAWEZA KUMJENGEA MTU NYUMBA? ACHA WAJITAFUNIE TU LULU BORA UCHUMI UENDE MBELE

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad