Kuna jamaa yangu yupo kwenye ndoa kwa miaka saba na hajafanikiwa kupata mtoto..hivi karibuni analikuwa ananipigisha stori fulani hivi ambazo nilikuwa sizielewielewi.
Juzi amekuja kutoka Morogoro amekuja nyumbani kwangu Dar anasisitiza anataka nimsaidie kutafuta dawa ili mkewe apate ujauzito eti wamekubaliana na mkewe wanishirikishe mimi kwa sababu ni msiri na mstaarabu.
Ili mke wake apate ujauzito kumbuka mimi siyo daktari. Alivyoona nakuwa mkali akaniambia atanipigia simu akifika Morogoro ili tujadiliane vizuri.
Ameondoka leo asubuhi kimsingi mimi sijaoa na sijaona sababu ya kufanya ujinga huo. Wanajukwaa mimi msimamo wangu ni hapana.
Ushauri tafadhali
MSADIE MWENZAKO NAE APATE MTOTO ANAYEMTAFUTA NA MKEWE
ReplyDeletekama kweli ni rafiki yako you have to help him
ReplyDeleteau shida hii ni ya kwako maana hujasema kama weweunaemtoto hebu kuwa muwazi
DeleteThis is a sin before God brother! Tell him to go pastor for the prayers.
ReplyDelete