Naima wa Aslay Ndani ya Penzi Zito na Kipa wa Simba Manyika JR ..Adaiwa Kumshusha Kiwango cha Mpira Awapo Uwanjani

Baada ya Kumalizana na Dogo Aslay wa ya Moto Band Mrembo Naima ambae haishiwi Skendo amehamia kwa Kipa wa Simba anaitwa Manyika JR , Wawili hao kwa sasa wanagandana kama kumbi kumbi mpaka mashabiki wa Simba wamemshutumu manyika JR kushuka Kiwango cha Kudaka moaka kusababisha Simba Kufungwa bao 2 na Mbeya City Week iliyopita..

Naima Alikuwa mapenzini na Dogo Aslay mpaka Kufikia Kujichora Tattoo ya Jina la Aslay kama invyoonyesha kwenye Picha hapo juuu
Picha ya Naima na Manyika wakiwa Kitandani wakifanya yao

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. DAH MANYIKA UMEKWISHA!!!!! MPIRA BASI TENA KAMA NDO UNAENDEKEZA NGONO MPAKA UNASHUKA KIWANGO

    ReplyDelete
  2. Huyo naima malaya wasanii wote bongo flavour wamepita kahamia huko kwa wachezaji sahii

    ReplyDelete
  3. Acheni majungu! Naima malaya kwa sababu mnamjua ametembea na nani, kama tungejua historia za wanawake au wake zetu basi nao tusingekuwa nao kwa kuwa nao wameshatembea na wengi tu ila hatujui. Acheni wale raha zao

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad