Picha Zingine za Wema Sepetu na Idriss Usiku Mnene Wakinong'onezana na Kufutana Jasho Zazidi Kuzua Maswali



Baada ya zile Picha za Mrembo Wema Sepetu akiwa na Mshindi wa Big Brother wakifanya shopping kuzua maswali mengi mtandaoni hapo juu nimekuwekea zingine wakiwa kiwanja cha starehe Escape one wakila bata kwa raha zao huku ukaribu wao ukionekana zaidi kwa kufutana jasho na muda mwingine kushikana shikana huku wakinong'onezana kwa chini chini....

Tupe Maoni yako

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. AMEZITABILA JASHO, ZITAKWISHA KWISHA THEN ATAKUKIMBIA... MJANJA DIAMOND,,,,

    ReplyDelete
  2. Hiyo itakuwa ni project nyingine baada ya wanjera!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad