Zitto: ACT Hatutaki Anasa, Usafiri Wetu Ziarani ni Treni na Mabasi

Zitto Akiwa Ndani ya treni
Kama Watanzania tunataka chama cha siasa chenye nidhamu ya matumizi ya pesa, basi ACT ndio chama sahihi!

Zitto ameendelea kuonyesha tabia yake ya kujali raslimali kwa kuzitumia kwa uangalifu mkubwa huku akifikiria wanyonge wa nchi hii ambao wengi wao wako kijijini.

Katika kutekeleza hilo, Zitto ameamua kufanya ziara za chama hicho (kwa awamu ya pili) kwa kutumia treni kwa kuwa itapita maeneo ambayo ACT imeyakusudia kwa awamu ya pili!

Watanzania, matukio haya ambayo tunayoyaona ndani ya ACT ni ukumbusho wa ujamaa wa Mwalimu wakati wa CCM ile ya enzi za azimio la Arusha.

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. DANGANYA TOTO HIYO

    ReplyDelete
  2. wana siasa ndivyo walivyo wakitafuta wanakua wabunifu kukuteka akili.akipata anachotaka utalia machozi,hutamuona kabisa

    ReplyDelete
  3. KWELI DAGANYA TOTO. HUNA LOLOTE.

    ReplyDelete
  4. Anacheza na akiri za watu huyo

    ReplyDelete
  5. Politics is not polite

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad