Zitto: Lowassa Akikatwa Jina CCM Katika Kinyang'anyiro cha Urais, Atangaze Mali zake Ajiunge ACT-Wazalendo

Zitto akiwa Ziarani Mjini Mwanza Katika Mkutano wa ACT Wazalendo uliofanyika Katika Viwanja vya Furahisi Ameweka Bayana kuwa Kama Jina la Lowassa litatolewa katika Kinyang'anyiro cha kugombea Urais 2015 kwa Ticket ya CCM basi ACT wazalendo wako radhi Kumpokea kwenye Chama chao kwa Sharti la Kutangaza Hadharani Thamani ya Mali zake na Utajiri alionao na chanzo chake ....

Je Unalionaje hilo?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad