Bundi atua tena CHADEMA: Kiongozi Mwingine ang'olewa madarakani kwa tuhuma za usaliti

Bundi atua tena Chadema.

Wamtimua tena Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Kigoma Bw.Ally Kisala.

Sasa ni wazi kuwa Chadema ni Bomba bovu.

Kila kilizibwa upande huu linafumuka upande ule.

Mbowe ndiye aliyeagiza Kisala aondolewe kwa tuhuma za usaliti kwa Chama.

Bila Shaka kila Mwana chadema ni Msaliti isipo Kuwa Wenye Chama.
Na bado.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. bomba bovu ni wewe na akili yako mbovu, Chadema/Ukawa siyo chama cha kihuni cha kuwakumbatia wahujumu, hata uwe nani ukiwa mhujumu, UTATIMULIWA kwa taarifa yako wewe bichwa BOVU!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad