Je, Kwanini Wanawake Wenye Makalio Makubwa Wanaringa?
2Udaku SpecialMay 01, 2015
Nimefanya kautafiti kadogo nimegundua kua wanawake wenye makalio makubwa wanaringa sana hata kama ni mbaya usoni lakini nyuma amejaliwa anakua anajisikia sana tofauti na wembamba je hii inatokana na nini?
Hakika mwanamke mwenye hiyo kitu, ni mtamu eti.yaani wee acha tu.
ReplyDeleteHaya utamu wake tofauti na wengine nini? Au na wewe sigara nyota?
ReplyDelete