Lemutuz 'siwezi kuoa Mbebezz wa Instagram NEVER cause Maisha yetu Yatakuwa ni Instagram tu Mkigombana Kidogo Instagram Nzima Wanajua'
1
May 30, 2015
EXTRA LIVE TALK:- People unajua unakuwa mjinga kama una AKILI KUBWAZZ halafu hujijui no mimi ni AKILI KUBWAZZ na ninajijua ninafanya mambo yangu kwa strategies zamani nilikuwa naandika sana ujinga cause nilishajua ndicho Wananchi wa Tanzania wnachopenda na ili kuwaonyesha ni AKILI KUBWAZZ kwanza lazima nitafute their100% FULL ATTENTION now nimeshaipata ndio maana siku hizi naandika 90% serious ishuz na bado 10% naandika pumba cause nisipochanganya AKILI KUBWAZZ na PUMBA nitakosa watu hapa...ndio maana nashindwa.kuoa tena unatakiwa kuoa mpenzi mnayefanana akili japo hata 75% cause siwezi kurudia makosa n almost kila mbebebzz anafikiria PESA na WATU WATAMUONAJE KWENYE JAMII sio moyo wake unamwamabia nini ukikuta Mbebez ana akili na.pesa ni MSAGAJI au HATAKI MAPENZI KABISA siwezi kuoa Mbebezz wa Instagram NEVER cause maisha yetu yatakuwa ni Instagram tu mkigombana kidogo Instagram nzima wanajua hahha so I am stuck....zamani wabongo tulikuwa na akili sana sijui kilitutokea nini yaani mbongo akienda majuu watu kama FREDDY MACHA au ATHUMANI MAGOMA walikuwa wanaishi majuu wanandika AKILI KUBWA kwenye Social Media jamani tazama siku hizi wale wote maarufu I mean wabongo wanaoandika Social Media ni mabingwa wa matusi tu kama.nasema uongo hebu mtaje mbongo mmoja.tu aliye majuu anayesifika kwa kuandika Sense? wote wanaofahamika ni MABINGWA wa matusi I mean huwa inanishangaza mbongo yupo majuu anatukana watu wanaoishi Tanzania mpaka.na.details zao za.jana walikuwa wapi na juzi walikuwa wapi Mungu wangu mtu unaishi First World badala ya kusaidia wenzio waliobaki wewe ni kuwatumia MATUSI.TU halafu watu wanalalamikia Viongozi kwa.nini Taifa haliendelei hahahahah tutakufwa wote hapa hamna maendeleo.mpaka.tutakapobadilika sometimes huwa nafikiria kuiomba Serikali inipe.ruhusa niwapitishe waya wa umeme vichwani Wananchi wote mtaani labda wataamuka mazafantazzz I mean dead people walking tumetoka kuadhibiwa na mvua majuzi kisa miaka 53 ya uhuru.hatuna serious Miundo Mbinu leo watu wamesafiri kwenda kuunga mkono wagombea Urais waliowahi kuwa Serikalini for the last 40 years ungetegemea wananchi wenye akili wapige kelele kwamba wagombea wote hawafai mazafantazzz! CHANGE! - le Mutuz
Tags
Gombea na wewe Urais manake naona unafaa na hizo digirii zako
ReplyDelete