Wadada wakicheza Ngoma Maarufu Pwani ijulikanayo kama Kigodoro |
Watu wa Pwani wanawezana wenyewe kwa wenyewe ndoa zao,mtu wa bara utachemka tu.Ukanda wa pwani kuanzia Tanga, Pwani, Dar, Lindi, Mtwara, Ruvuma na hata Morogoro pia ni walewale tu tabia, mila na desturi zao.
Vigodoro kwa sana, kushinda ngomani, shule kwao ni kama adhabu, vitabia vya ajabuajabu tu,ni shida...Yaani imefikia hata maendeleo katika Sehemu zao yapo duni sana ..
Vigodoro kwa sana, kushinda ngomani, shule kwao ni kama adhabu, vitabia vya ajabuajabu tu,ni shida...Yaani imefikia hata maendeleo katika Sehemu zao yapo duni sana ..
Kama ukiangalia Bagamoyo kwa sasa Wahamiaji ndio wanaoleta maendeleo kwa kununua mashamba na viwanja vya wazaramo na kuwaacha wenyeji hawana kitu ..
Kuachana na kupeana Talaka tatu huku sio stori yaaani Kila siku kama fashion tu
Familia inauza shamba Cha kwanza lazima ngoma ipigwe usiku mzima, na kuita waganga waje wazindike nyumba au kutoa majini ndio zao huku umaskini ukiendelea kuwatafuna
WE ULOANDIKA HII MADA ULIKUWA CHOONI UKIJISAIDIA AU?? OVYOOOOOO
ReplyDeleteKidogo kidogo mnaanza kuleta "UBAGUZI"ndani ya nchi "eti"kabila hili ni bora na kabila lile siyo bora haujui ya kuwa tribalismus is a very bad rotten stinking habit ewe uliyeiandika mada hii without thinking?U're a big **s hole
ReplyDeleteSasa hao 'wakuja' kwanini wasinunue mashamba na viwanja kwao huko bara wakaendeleza kwao? Kinachowafanya wote muhamie pwani ni nini?
ReplyDeleteOvyo wewe mtoa post kajambe mbele kule mpumbavu weeeeeee
ReplyDeleteHakuna ngoma inaitwa kigodoro kwani ukisikia mtu kaenda disco unafikiri huko kuna muziki au ngoma inaitwa disco? Nakushauri ongea mambo ya kwenu bara kuhusu kukeketa,kuuana ovyo,kuzurura na mifugo na kulala nayo kama nawe ni ng'ombe mwenzao ustarabu wote mnakuja kujifunzia pwani kama kuvaa vizuri,kulala kwenye nyumba nzuri,kuoga na kujisafisha vizuri mkitoka haja badala ya kutumia toilet paper wengine hata suruali mlikuwa hamzijui mmezoea kuvaa mishuka kama mmetoka usingizini
ReplyDeleteKuna mkoa gani usiokuwa na mambo ya asili, watu wa Pwani ndo wameikomboa nchi hii we Ndorobo
ReplyDelete