Yes, huo ndiyo ukweli na utabaki hivyo. Nchi yetu ni masikini sana! Wanafunzi wanaketi chini hawana madawati!
Maisha ni magumu sana huko vijijini. Wanawake wengi wanateseka na familia (wengi sana ni wajane). Na mambo mengine chungu zima!
Kwa kweli nchi yetu tunaonekana huko nje kuwa sisi ni masikini sana!
Kwa Mtanzania kutumia shilingi za kitanzania milioni tatu kwa ajili ya starehe ya kula kulewa na kujianika uchi hadharani kwa siku moja ni kufuru dhidi ya Mwenyezi Mungu na watanzania masikini!
Haya ndiyo mambo yanayopelekea watu kuiba mali ya umma!
Watu waseme watakavyo lakini ukweli ni kwamba kwa umasikini huu tulio nao, kutumia hicho kiasi cha pesa kwa anasa ya siku moja tena kwa watu wasio na mchango wowote kwa taifa ni kufuru kubwa na matusi!
By G Sam
KATOKEA MBALI WASWAHILI WALISEMAA MASKINI AKIPATAA MATAKO HULIA........NDO IVOOO
ReplyDeleteAcha uvivu wewe ujambazi na kufuru nani kasema!! Wenzio wanapambana kutafuta pesa na ndivyo pia lazima wazitumie!! utakalia hizo porojo za nchi yako maskini wenzio wanasonga mbele! Pund wee!! Fanya kazi acha majungu! Umaskini ni wako na familia yako!!
ReplyDeletepunda mwenyewe, nyie ndiyo wezi wa mali ya umma, kazi gani unayofanya kwa bidii na kupata hiko kipato cha kwenda nunua tiketi milioni tatu? iko siku mtalia nyie siku mtakapo umbuliwa subiri tu!! wezi wakubwa!
DeleteUmasikini anaujua masikini mwenyewe hizo milioni tatu wenzio wanazifananisha na elfu tatu. Sio watu wote wanaishu kwa kutegemea mshahara wa 150,000/- atiiiii
Deletehii ndo tanzania
ReplyDeletendo matumizi ya pesa maskini wewe sio wao
ReplyDeletewee mtu katugenezea adi soko sie wauza mitumba shati la shule tulikua tunauza buku 2, sikuiyo tumeuza shati buku 10, afu unampondea ahaaa.......!
ReplyDeleteNakubaliana na mdau at 8:42PM, unapoongelea umasikini ni kweli sisi ni masikini lakini si wote ni masikini! labda hapo umejiangalia wewe na familia yako. Mtu unafanyakazi kwa bidii kuzipata pesa unapotaka kufanya matumizi hivi unatakiwa kuangalia umasikini wa nchi hii? unadhani utaweza ubeba umasikini wa nchi hii mabegani kwako? yani nikitaka kufanya yangu nianze kufikiria umasikini wa wengine? no! haiwezekana. hata hivyo si dhambi kujifurahisha mara moja moja! Viongozi wa nchi ndio wanaopaswa kuangalia umasikini wa nchi hii wanapotafuna mapesa ya wananchi sio individual person!
ReplyDeletendiyo maana nchi imejaa wezi tu, na rushwa hamna lolote, sikubaliani na mtu makini ambaye anafanya biashara halali kwa jasho lake hapa TZ aende nunua tiketi milioni tatu!! tusidanganyane hapa!! haijakataliwa kutumia pesa zako hivyo, lakini TZ bado saaanaaaa!!! ni wizi tu!!
ReplyDeleteWatanzania walio wengi ni wizi tu wa mali za umma zitokanazo na kodi na mapato mabali mbali na rushwa. Kiasi kwamba wizi umekithiri na kumekuwa na kundi la wenye ncho na wasio nacho, masikini na matajiri, na utajili wenyewe wa kuibiana na kukosa maendeleo katika Taifa letu ndio maana kila kitu ni ziro, shure hovyo, miundo mbinu hovyo madawa kama hivyo hamna mahospitali, mahospitali yenyewe yamechoka, kwa kuwa hatujali mabo muhimu, tunapenda kujali mambo yasio kuwa na faida katika taifa letu, tunajibia na kutunisha mifuko yetu na uwonekano wa umasikini katika Taifa letu hautoisha,tutaendlea kuitwa nchi za dunia ya tatu, kwa kuwa walio wengi na masikini na Taifa liko ziiii, halieleweki, tumekosa maarifa, tunazani kujibia wanazani ndio ujanja, kumbe tunajizolotesha wenyewe, kutwa kusifia kwa weenzetu, utasikia bwana mamtoni, wenzetu wanajielewa, sisi atujielewi kazi kuoneana tu, kama hayawani, na roho mbaya zimetujaaa
ReplyDeleteninachoshangaa ni kwamba party huwa inagharamiwa na mwaandaaji halafu unaalika watu kwa pesa yako sasa kilichofanywa na diamond na zari wao walichangisha watu halafu wakapiga pesa mbaya zaidi TRA hawajaenda kusanya kodi yao kutokana na walichoingiza hao jamaa
ReplyDeletesioni kama kuna pointi ya msingi apo,mafisadi wanaochukua pesa zetu kila siku na huyu anaejitahidi kushawishi na kujiingilia kipato ndo inakua kufuru...
ReplyDelete